Tetesi: Uzi maalumu wa kutaja viwanda vipya 3000 vilivyojengwa kipindi cha kuanzia 2016 mpaka 2019 mahali ulipo tanzania

Tetesi: Uzi maalumu wa kutaja viwanda vipya 3000 vilivyojengwa kipindi cha kuanzia 2016 mpaka 2019 mahali ulipo tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
ndugu wana jf wanasiasa wetu wanatuambia kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu toka awamu ya tano imeingia madarakani viwanda 3000+ vimejengwa

Naomba tutumie uzi huu kuvitaja popote ulipo hata kiwanda kimoja kwenye wilaya unayoishi ambacho kimejengwa ndani ya miaka mitatu

Mfano

Kiwanda cha kutengeneza kope za macho kimejengwa hapa kwetu namanyere mwaka 2017 kimeajiri watu 560

Hii itasaidia kuwakata kidomodomo wale wote vinzabinzabina wanaokataa maendeleo yetu yaliyoletwa na chama chetu pendwa cha ccm

Karibuni wadau tujuzane maviwanda yetu!!
 
Back
Top Bottom