marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
What's up status huwa zina beba mantiki kubwa ambayo muandikaji huwa ameifikiria,
Mm binafsi huwa napenda kusoma na kutafakari status za watu,japo nyingine huwa za kawaida lkn nyingine hubeba ujumbe mzito kulingana na anayopitia MTU na kile alichofunza,Mtu huweka anacho experience katika maneno machache kama status,wkt mwingine mtu hurejea misemo ya wahenga inayoendana na Yale anayopitia na somo alilopata.
Mm binafsi katika rekodi yangu,status zangu ninazokumbuka ni tatu mpaka sasa:
1. Love goes beyond boundaries,
2.dance according to the tune
3.life is a tree with many branches
Nitaelezea nn kilipelekea kuandika status hizi baadaye sasa HV Nina haraka.
Je wewe status zako au yako ya what's up ikoje na uliexperience nn katika harakati zako mpaka ukaandika maneno hayo katika what's up au mtandao mwingine wowote?
Tunaweza jifunza kupitia status yako.
Nawasilisha,karibuni tuchit chat.
Asanteni