Uzi Maalumu wa kutupia what's up status

Uzi Maalumu wa kutupia what's up status

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
What's up status huwa zina beba mantiki kubwa ambayo muandikaji huwa ameifikiria,

Mm binafsi huwa napenda kusoma na kutafakari status za watu,japo nyingine huwa za kawaida lkn nyingine hubeba ujumbe mzito kulingana na anayopitia MTU na kile alichofunza,Mtu huweka anacho experience katika maneno machache kama status,wkt mwingine mtu hurejea misemo ya wahenga inayoendana na Yale anayopitia na somo alilopata.

Mm binafsi katika rekodi yangu,status zangu ninazokumbuka ni tatu mpaka sasa:

1. Love goes beyond boundaries,
2.dance according to the tune
3.life is a tree with many branches

Nitaelezea nn kilipelekea kuandika status hizi baadaye sasa HV Nina haraka.

Je wewe status zako au yako ya what's up ikoje na uliexperience nn katika harakati zako mpaka ukaandika maneno hayo katika what's up au mtandao mwingine wowote?

Tunaweza jifunza kupitia status yako.

Nawasilisha,karibuni tuchit chat.

Asanteni
 
Tueleze kwanza ndio na mimi niandike yangu
 
kama ulikuwa na haraka c ungetuliza kwanza hicho kiwashawasha chako.
 
nasisi tunaoweka status 50 kwa siku huu Uzi unatuhusu?
 
status niliweka siku moja tuu tena ili kujaribu kama najua
baada ya hapo nikawaachia akina dada kufanya hivyo
huku nikiwa sina muda wa kuangalia status za watu sina muda huo nakwambia

halafu ni whatsapp sio ulichoandika wewe
 
status niliweka siku moja tuu tena ili kujaribu kama najua
baada ya hapo nikawaachia akina dada kufanya hivyo
huku nikiwa sina muda wa kuangalia status za watu sina muda huo nakwambia

halafu ni whatsapp sio ulichoandika wewe
Dah yaan ww km mm huo muda cna hata
 
Napendelea za vichekesho zaidi, clips za videos haijalishi ili mradi niupende tu, quotes za maisha hata mahusiano pia niipende tu zaidi quotes za mugabe
 
Back
Top Bottom