Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa

Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto

Haya mie natanguliza jina la aurora

Comments jina jipya unalolifahamu
 
Long distance runner ili ndo jina langu nalotumia kipindi Cha 20s nikiingia 30s nategemea kubadilisha na hili jina ntampa mwanangu atakapozaliwa ataitwa LD Jr.


Clever
Wise
Long distance runner

Haya yote majina yangu so watoto ambao watapatikana watapewa hayo majina yangu.
 
Melchizedek - Mfalme wa Haki.
Matthias - zawadi ya Mungu.
Jephtah- Mungu hufungua.
Jeremiah- Mungu huinua.
Isaiah- Wokovu watoka Kwa Mungu.
Emmanuel - pamoja nasi ni Mungu.
Ishmael- Mungu husikia.
Elijah- Bwana ni Mungu.
Daniel- Mungu ni Hakimu wangu.
Deborah- nyuki.
Delilah- mtamu.
Elisha- Mungu ni wokovu.
Elizabeth - Mungu ameniweka huru.
Felix- mwenye furaha.
Ezra- msaada.
Gabriel - Shujaa wa Mungu.
Hannah- neema.
Hezekiah- Mungu amenitia nguvu.
Jehoshaphat - Mungu ni Hakimu.
Habbakuk- mfariji.
Enoch- aliyetakaswa.
Eleazer.- Mungu ni msaada wangu.
Josiah- Na Mungu atupe hitaji letu.
Jotham-Mungu ni mkamilifu.
Micah(la kike)- nani kama Mungu?
Michael- nani kama Mungu?
Naomi- mpendwa wangu.
Nathan- Mungu ametoa.
Nehemiah- Mungu amenifariji.
Onesimus- Faida.
Paulo- mdogo.
Peter- mwamba.
 
Malimi.....
Masanja..
Shimbi
Buyeye.
Maganga.
Mayala
Ng'wandu
Kwangu
Minza
Sungwa
Gahema
Galidi
Machungwa
kija
Shinje
Lugoye
Matongo.
Madeleke
Malendeja.
Saguda
Limi
Kwaya.
Magufuli.
Mabula
Mboje
Matondo
Mang'ombe
Chacha.
Marwa
Bhoke.
Auko
Ocholla
Obonyo
Wambura.
Gati.
Werema
Matata.

Etc etc
 
Back
Top Bottom