Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Maharage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kike/kiume?Jarrel
MeKike/kiume?
La kiumeLinasound good,, ni la like au la kiume?
La kiumeLa kiume au kike?
OukayLa kiume
Kumbe delilah maana yake utamu? nilikua sijui aseeMelchizedek - Mfalme wa Haki.
Matthias - zawadi ya Mungu.
Jephtah- Mungu hufungua.
Jeremiah- Mungu huinua.
Isaiah- Wokovu watoka Kwa Mungu.
Emmanuel - pamoja nasi ni Mungu.
Ishmael- Mungu husikia.
Elijah- Bwana ni Mungu.
Daniel- Mungu ni Hakimu wangu.
Deborah- nyuki.
Delilah- mtamu.
Elisha- Mungu ni wokovu.
Elizabeth - Mungu ameniweka huru.
Felix- mwenye furaha.
Ezra- msaada.
Gabriel - Shujaa wa Mungu.
Hannah- neema.
Hezekiah- Mungu amenitia nguvu.
Jehoshaphat - Mungu ni Hakimu.
Habbakuk- mfariji.
Enoch- aliyetakaswa.
Eleazer.- Mungu ni msaada wangu.
Josiah- Na Mungu atupe hitaji letu.
Jotham-Mungu ni mkamilifu.
Micah(la kike)- nani kama Mungu?
Michael- nani kama Mungu?
Naomi- mpendwa wangu.
Nathan- Mungu ametoa.
Nehemiah- Mungu amenifariji.
Onesimus- Faida.
Paulo- mdogo.
Peter- mwamba.
Naona umesahau utamu wa Delilah ulichomfanya SamsonMelchizedek - Mfalme wa Haki.
Matthias - zawadi ya Mungu.
Jephtah- Mungu hufungua.
Jeremiah- Mungu huinua.
Isaiah- Wokovu watoka Kwa Mungu.
Emmanuel - pamoja nasi ni Mungu.
Ishmael- Mungu husikia.
Elijah- Bwana ni Mungu.
Daniel- Mungu ni Hakimu wangu.
Deborah- nyuki.
Delilah- mtamu.
Elisha- Mungu ni wokovu.
Elizabeth - Mungu ameniweka huru.
Felix- mwenye furaha.
Ezra- msaada.
Gabriel - Shujaa wa Mungu.
Hannah- neema.
Hezekiah- Mungu amenitia nguvu.
Jehoshaphat - Mungu ni Hakimu.
Habbakuk- mfariji.
Enoch- aliyetakaswa.
Eleazer.- Mungu ni msaada wangu.
Josiah- Na Mungu atupe hitaji letu.
Jotham-Mungu ni mkamilifu.
Micah(la kike)- nani kama Mungu?
Michael- nani kama Mungu?
Naomi- mpendwa wangu.
Nathan- Mungu ametoa.
Nehemiah- Mungu amenifariji.
Onesimus- Faida.
Paulo- mdogo.
Peter- mwamba.
Maliza shule wewe acha kuchagua majina mapema hivi.Linasound good,, ni la like au la kiume?
Unashabikia brighton nnEncisco
Hayo ya kisukuma???Malimi.....
Masanja..
Shimbi
Buyeye.
Maganga.
Mayala
Ng'wandu
Kwangu
Minza
Sungwa
Gahema
Galidi
Machungwa
kija
Shinje
Lugoye
Matongo.
Madeleke
Malendeja.
Saguda
Limi
Kwaya.
Magufuli.
Mabula
Mboje
Matondo
Mang'ombe
Chacha.
Marwa
Bhoke.
Auko
Ocholla
Obonyo
Wambura.
Gati.
Werema
Matata.
Etc etc
Hayo ya kisukuma???Malimi.....
Masanja..
Shimbi
Buyeye.
Maganga.
Mayala
Ng'wandu
Kwangu
Minza
Sungwa
Gahema
Galidi
Machungwa
kija
Shinje
Lugoye
Matongo.
Madeleke
Malendeja.
Saguda
Limi
Kwaya.
Magufuli.
Mabula
Mboje
Matondo
Mang'ombe
Chacha.
Marwa
Bhoke.
Auko
Ocholla
Obonyo
Wambura.
Gati.
Werema
Matata.
Etc etc
Shule ipi tena hiyo..mbona hadi nimesahau kama nishawahi kusoma 😂😂Maliza shule wewe acha kuchagua majina mapema hivi.