Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

Long distance runner ili ndo jina langu nalotumia kipindi Cha 20s nikiingia 30s nategemea kubadilisha na hili jina ntampa mwanangu atakapozaliwa ataitwa LD Jr.


Clever
Wise
Long distance runner

Haya yote majina yangu so watoto ambao watapatikana watapewa hayo majina yangu.
Yaani kumbe bado upo second floor?
 
Baraka,
Amani,
Bahati,
Rehema,
Neema.,
Wema
Upendo.
Imani.
Haya ndio majina yanayobeba uhalisia sana.
 
Back
Top Bottom