mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !!
Kuwa shabiki wa makolo ni lazima kwanza ujikatae, yaani weka akili zako pembeni maana simba sc kwa tafasili nyingine ni taasisi ya wakosa akili, mapunguani na mahayawani..Yes, kama ulivyo sikia, simba sc ni kikundi cha mahayawani.
Uhayawani na uzumbukuku wa watu wote wanaojihusisha na simba ni suala lisilo jificha, ebu ona walivyojipa umuhimu kwenye mechi ya Yanga afrika na mamelod mpaka wakasahau kuandaa kikundi Chao cha wazee mwisho wa siku wakatobolewa home and away!,. Hilo likapita baada ya Yanga afrika kutolewa wakajikita tena kushangilia kutolewa kwa Yanga sc, badala ya kuandaa mandondocha yao akina par omar jobe na babacar dhidi ya mashujaa, matokeo yake yakakandwa na timu ya wapiga nyeto, "mashujaa efusii toka kigoma moyaa!
Timu limejaa wajuaji, kila shabiki ni mchambuzi hadi boss Mo au mdi nae amejikita kwenye uchambuzi, tajiri anachambana na mashabiki twitter, kocha anawatukana wachezaji hawana viwango, Mangungu anawapiga mikwara mashabiki wasema kweli, huku try again anajipigisha vipicha na mwijaku wa Kongo bwana mayele, yaan kwa kifupi timu ya Simba ni sawa na kikundi cha unenguaji kilichotamba sana mitaa ya kinondoni cha "kanga moko, ndembendembe laki si pesa". Timu haina dira inayumba kama kalio za kahaba wa uwanja wa fisi anaewahi kichwa.. Afalaaaneki!!!!