Uzi maalumu wa mbinu za kushinda kesi za kucheat(Me/ke)

Uzi maalumu wa mbinu za kushinda kesi za kucheat(Me/ke)

6321

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
649
Reaction score
1,117
Habari ya mchana wana JF.

Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu.

Njoo tupeane mbinu za kizamani na kisasa za kujibu kesi za kucheat pale unapofumwa na mpenzi wako.

Nb. Huu uzi utakuwa mkombozi wa mahusiano mengi ya watu, maana takribani watu 100k kwa 48hrs Tanzania hukamatwa wanacheat wapenzi wao na robo tatu hushindwa kujitetea.

1625119114037.png

 
Inategemea na situation. Kuna wengine ukikubali ukweli ndio mwisho wa mahusiano.... bora ukatae ukweli
Tena unakataa kwa machozi mengi ukiweza kuzimia zimia kabisa.
 
Back
Top Bottom