D
Asante kaka angu nitakaribia ubarikiwe mnoooo [emoji120][emoji120][emoji120]Ameen. Sikukuu nakukaribisha
InshallahMungu awafanyie wepesi kwenye funga yenu
Young kwani we ni muislamInshallah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwezi huu kila mtu muislamu si unajua tena mambo ya futari.Young kwani we ni muislam
Mh kuwa serious basi nataka kuja kuanza kufuturu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwezi huu kila mtu muislamu si unajua tena mambo ya futari.
Wewe karibia tu wala usiwe na shaka kwetu futari huwa mtu hakaribishwi anajisogeza tu mwenyewe ndio maana tunafuturu nje.Mh kuwa serious basi nataka kuja kuanza kufuturu
Nakuja mm jamani youngWewe karibia tu wala usiwe na shaka kwetu futari huwa mtu hakaribishwi anajisogeza tu mwenyewe ndio maana tunafuturu nje.
Kweli!? Karibu sana,usimsahau Sakayo.Nakuja mm jamani young
Huyo siwezi msahau nakuja naeKweli!? Karibu sana,usimsahau Sakayo.
Hahaha,ebu angalia PmHuyo siwezi msahau nakuja nae
Pm kwangu mm umetuma mahela eenhHahaha,ebu angalia Pm
Nawatakia waislam wote duniani, maandalizi mema ya mwezi mtukufu wa ramadhani.