Uzi maalumu wa Mimea na Magonjwa inayotibu.

Uzi maalumu wa Mimea na Magonjwa inayotibu.

Mngekuwa mnaambatanisha na maelezo kidogo ya namna ingefaa zaidi.

Ni ushauri tuu
 
Mngekuwa mnaambatanisha na maelezo kidogo ya namna ingefaa zaidi.

Ni ushauri tuu
1741496651569.png
 
Mngekuwa mnaambatanisha na maelezo kidogo ya namna ingefaa zaidi.

Ni ushauri tuu
Mkuu huujui lugha ya picha? Picha huunganisha watu wa lugha zote hata wasiojua kusoma na kuandika, anyway ngoja aje mwenye uzi wake holoholo huenda atafafanua
 
Majani ya mpera ukiyachemsha then ukanywa maji yake ni dawa ya Tumbo.

Majani ya Mnyonyo(Castor leaves) ukiyapasha moto na kuyakanda kwenye uvimbe unapotea.

Vitunguu swaumu ni Antiboitic.
 
Limao ndimu au lemon

Hii inatibu , Tatizo la kuwa mfumo mbaya wa mmengenyo wa chakula

Pia inaua bakteria wa kwenye kinywa.

Matumizi

Tumia katika Chai
Tumia katika Chakula
Tumia Kama juice
Glass moja au mbili kwa siku edapo usipotumia katika Chakula, Chai .

Nb

Dawa za Asili huwa zinatabia moja inaweza kufanya Kazi kwako Ila kwa mtu mwingine ikagonga Mwamba .
 
Back
Top Bottom