Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Pengine tunaijua ila lugha sasa na hata mbali na lugha weka hata picha
 
Naomba daw ya sikio
Shemeji yenu kuna muda asikii gafla
 
Pole yake mtoto lkn kama ni kifafa dawa yake kuna ule mmea unaota juu ya mti mwingine kifupi hauna mizizi sjui kiswahili chake fasaha bali naujua kwa jina la nguruka au ngurukila zipo aina 2 moja ambayo ndo dawa majan yake ni mapana kdogo na mazito huu mara nyingi hufikia hatua ya kutoa mbegu zinakuwa nyekundu flan hivi sasa yale majani ndo unachukua kias unatwanga na kuloweka yaan dawa inayopaswa kutumika asubuhi inaandaliwa jioni na ya mchana inaandaliwa asubuhi na ya jioni inaandaliwa mchana hivyo mgonjwa atatumia kunywa hiyo dawa ndani ya siku 10.
Lakini kama ni tatizo la kurith ili lisiendelee kuathri wajao mhusika anapaswa kuwa anachemsha majan ya mparachichi kila mara anakunywa yaan anachmsha tu hatmae hiyo hali inakoma
Lkn pia mzazi afanye uchunguzi kwa mtoto kama inaweza kuwa degedege au lah
 
Asante mkuu, nitawasilisha. Mungu akubariki sana.
 
Huu uzi umemtenga mtanzania
Kwa vipi mkuu fafanua, maana nauona kama umekuwa msaada mkubwa beyond expectations!, watanzania tunabadilishana mawazo juu ya changamoto mbalimbali za kitiba hasa tiba kiasili.(should be pinned among permanent threads)
 
Kwa vipi mkuu fafanua, maana nauona kama umekuwa msaada mkubwa beyond expectations!, watanzania tunabadilishana mawazo juu ya changamoto mbalimbali za kitiba hasa tiba kiasili.(should be pinned among permanent threads)
Haujaona kabisa Mkuu?, tatizo hapa ni lugha iliyotumika. Naamini kabisa kingetumika kiswahili ungefika kwa wengi sana na mchango ungekuwa mkubwa zaidi.
 
JAMANI NAOMBENI MSAADA DAWA YA CHANGO KWA MTOTO MCHANGA WA MWEZI MMOJA NA WIKI 3, YAAN KUNA MUDA ANALIA SANAAA HADI SO POA TUNAHISI TUMBO NDIYO LINALOMSUMBUA NAOMBA MSAADA[emoji2969]
 
JAMANI NAOMBENI MSAADA DAWA YA CHANGO KWA MTOTO MCHANGA WA MWEZI MMOJA NA WIKI 3, YAAN KUNA MUDA ANALIA SANAAA HADI SO POA TUNAHISI TUMBO NDIYO LINALOMSUMBUA NAOMBA MSAADA[emoji2969]
Gesi kujaa tumboni ndio inamsumbua. Akimaliza kunyonya mama yake ajitahidi awe anamcheulisha kwa kumlaza begani kwake. Pia anaponyonya ahakikishe weusi wote wa chuchu umejaa mdomoni ili hewa isiingie.

Pia amlaze chali then amkunje miguu awe kama anamuendesha baiskeli na kummassage tumbo gesi yote itatoka.
Cha muhimu sana akimaliza kunyonya ahakikishe anamcheulisha.

Kuna dawa pia famasi za colic naona ni better option kwa umri wake kama hayo juu yatashindwa kumaliza tatizo.
 
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na meno kufa ganzi,nisaidieni ushauri au tiba.
 
Una mda gni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…