Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

UCHAWI WA KISAMBAA

Katika jamii ya Wasambaa na ukanda wake kuna aina nyingi za uchawi ndani yake. Nitatenga siku kwa ajili ya kuongelea uchawi namba 3 kwa kina sana zikiwemo na njia za kujikinga nao pamoja na tiba zake. Baadhi ya aina za uchawi zinazopatikana katika ukanda huo ni:-

1. SHAKIIZI
Huu ni aina ya uchawi ambao mchawi hutuma jini kwa mtu aliyemkusudia ili ajidhuru au adhuru wengine mhusika anaweza kuua au kugombana na ndugu zake bila kujitambua. Shakiizi huweza kusababisha mtu kufanya jambo bila kukusudia na akishalifanya hujikuta anajutia sana.

2. KOPERA
Huu ni uchawi wa kuibiana vitu kwa njia ya mazingara. Unaweza kuibiwa mazao, pesa au hata akili kwa wale mnaosoma yaani ni uwezo anaokua nao mchawi wa kuhamisha mali yoyote anayoitaka kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kuna njia nyingi za kukabiliana na hali hiyo lakini zinazojulikana ni kuweka mfupa wa nguruwe, kumwaga au kuweka chumvi ya mawe au kutumia ndulele mbili au tatu kwenye mali yako. Pia maombi kwa wale wanaomwamni Mungu.

3. ZONGO
Hii ni aina ya uchawi wa kutumia macho ambao lengo kuu la mchawi huu ni kupima kinga zako za kichawi. Mkoa wa Tanga uchawi huu unaitwa "MUKU" na huko Arusha unaitwa "Jicho". Zongo humfanya mtu aumwe ghafla atapike au tumbo livurugike.

Mwenye uchawi huun akikuangalia tu utaumwa tumbo hadi kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana.

Zongo inaweza kupigwa kwa mtoto mchanga, mama mjamzito, n.k Zongo huwa ni husda ya mchawi kwa kile unachokifanya au unachojishugulisha nacho. Zongo inaweza kupigwa pia kwenye vyombo vya usafiri, kama umeshawahi kusikia gari hili limerogwa au kila wakati lina haribika na kutengenezwa, au kama umewahi kusikia boti hili linaharibika kila likipakia abiria au injini yake kufeli kila likipata mzigo wa kusafirisha n.k

Mara nyingi zongo hutumwa kipindi ambapo mtu unakula kitu chochote mbele ya mchawi. Pia zongo hutumwa kwa njia ya kujikuna kuna ukiona unakula alafu mtu anajikuna kuna mbele yako mkanye na mwambie tu acha ujinga wako ataacha na atajua wewe ni mtaalamu wakati hauna utaaalamu wowote.

Zongo baya ni la kulogwa ukiwa unakula msibani maana uuguzi wake ni lazima upate chakula kingine cha msibani ndio uaguliwe nacho.

4. MVUAZA
Huu ni aina ya uchawi ambao mhusika anaununua rasmi kwa ajili ya kuogopeka au kukwepa madeni. Ukiwa na mvuaza unaweza kuwa unadaiwa lakini ukikutana na mtu anayekudai ile nguvu aliyokua nayo ya kudai inapungua anacheka cheka au anakusamehe kabisa, pia kama una kesi yoyote mvuaza humfanya aliyekushitaki asahau kwenda mahakamani au afute kesi au faili la kesi lisionekane.

5. NTIGO
Wasambaa tusaidiane hapa kama matamshi nipo sahihi, ila aina hii ya uchawi ipo kwa lengo la kuwalinda wake za watu au watoto wa kike. Ukitembea na mke wa mtu unaweza kuumwa kuanzia kwenye kiuno kushuka chini. Katika hili sio lazima kwamba mume wa huyo mke awe amekuonya au sio lazima uwe unajua kuwa ni mke wa mtu yaani kutembea naye tu unaumwa. Kupona kwa huo ugonjwa ni lazma umtafte mume wa mke uliyetembea naye muongee na umbembeleze umpe ng'ombe au fedha ufanyiwe uganga ili uweze kupona.

6. KIATU
Huu ni aina ya uchawi wanaotumia wachawi wa Kisambaa ambao lengo kuu la mchawi ni kumpeleka mbali sana mtu aliyekusudia kumroga. Yaani ukipigwa kiatu unatembea tu kila siku unaenda mbali na kwako au kwenu na kamwe haukumbuki nyuma wala utakua hauna mpango wa kurudi nyumbani. Kwa kutumia uchawi huu wanafamilia wanabaki wenyewe na wengine wasimbe huku wenye miji wakifia huko mbali kusikojulikana.

Hizi aina zote za uchawi na zingine ambazo sijataja hapa kwangu zinateguliwa tu kawaida.

👉 Tatizo kubwa la waganga uchwara walio wengi tulio nao kwa sasa ni kwamba wanakimbilia kutibu ikiwa hawajui wanatibu nini, hawana ujuzi wa kuangalia tatizo lilianza vipi na ni aina gani ya uchawi ulitumika kumroga mtu. Mtu akishajua dawa tatu nne basi anajifanya na yeye ni mganga. Kuna aina za uchawi ambazo ukijaribu kuutibu na hata kama wewe sio mganga basi unajiambukiza huo uchawi na mgonjwa anazidiwa. Mnatakiwa kuwa makini na mnachokifanya na maisha yenu pia. Kila kanda ina uchawi wake wa kiasili jambo unaweza kusambaa katika kanda nyingine na kwa majina tofauti.
 
Komes

Komesha ya hayo yote ni nn
 
Nini chanzo cha majaribu yote haya ninayoyapitia?
(Prophetic)
Chukua chumvi ya mawe, vitunguu swaum 3,usimenye, weka ndani ya mfuko wa plastic transparent, fungia, chukua biblia soma zaburi ya 35, mara 3,huku ukinuia kutaka kufahamu chanzo cha shida zako, weka chini ya mto lala.
 
BANANAS...
Very interesting FACTS

Never, put your banana in the refrigerator!!!...
This is interesting. After reading this, you'll never look at a banana in the same way again.

Bananas contain three natural sugars - sucrose, fructose and glucose combined with fiber. A banana gives an instant, sustained and substantial boost of energy.

Research has proven that just two bananas provide enough energy for a strenuous 90-minute workout. No wonder the banana is the number one fruit with the world's leading athletes.

But energy isn't the only way a banana can help us keep fit. It can also help overcome or prevent a substantial number of illnesses and conditions, making it a must to add to our daily diet.

DEPRESSION:
According to a recent survey undertaken by MIND amongst people suffering from depression, many felt much better after eating a banana. This is because bananas contain tryptophan, a type of protein that the body converts into serotonin, known to make you relax, improve your mood and generally make you feel happier.

PMS:
Forget the pills - eat a banana. The vitamin B6 it contains regulates blood glucose levels, which can affect your mood.

ANEMIA:
High in iron, bananas can stimulate the production of hemoglobin in the blood and so helps in cases of anemia.

BLOOD PRESSURE:
This unique tropical fruit is extremely high in potassium yet low in salt, making it perfect to beat blood pressure So much so, the US Food and Drug Administration has just allowed the banana industry to make official claims for the fruit's ability to reduce the risk of blood pressure and stroke.

BRAIN POWER:
200 students at a Twickenham (Middlesex) school ( England ) were helped through their exams this year by eating bananas at breakfast, break, and lunch in a bid to boost their brain power. Research has shown that the potassium-packed fruit can assist learning by making pupils more alert.

CONSTIPATION:
High in fiber, including bananas in the diet can help restore normal bowel action, helping to overcome the problem without resorting to laxatives.

HANGOVERS:
One of the quickest ways of curing a hangover is to make a banana milkshake, sweetened with honey. The banana calms the stomach and, with the help of the honey, builds up depleted blood sugar levels, while the milk soothes and re-hydrates your system.

HEARTBURN:
Bananas have a natural antacid effect in the body, so if you suffer from heartburn, try eating a banana for soothing relief.

MORNING SICKNESS:
Snacking on bananas between meals helps to keep blood sugar levels up and avoid morning sickness.

MOSQUITO BITES:
Before reaching for the insect bite cream, try rubbing the affected area with the inside of a banana skin. Many people find it amazingly successful at reducing swelling and irritation.

NERVES:
Bananas are high in B vitamins that help calm the nervous system..

Overweight and at work? Studies at the Institute of Psychology in Austria found pressure at work leads to gorging on comfort food like chocolate and chips. Looking at 5,000 hospital patients, researchers found the most obese were more likely to be in high-pressure jobs. The report concluded that, to avoid panic-induced food cravings, we need to control our blood sugar levels by snacking on high carbohydrate foods every two hours to keep levels steady.

ULCERS:
The banana is used as the dietary food against intestinal disorders because of its soft texture and smoothness. It is the only raw fruit that can be eaten without distress in over-chronicler cases. It also neutralizes over-acidity and reduces irritation by coating the lining of the stomach.

TEMPERATURE CONTROL:
Many other cultures see bananas as a 'cooling' fruit that can lower both the physical and emotional temperature of expectant mothers. In Thailand , for example, pregnant women eat bananas to ensure their baby is born with a cool temperature.

So, a banana really is a natural remedy for many ills. When you compare it to an apple, it has FOUR TIMES the protein, TWICE the carbohydrate, THREE TIMES the phosphorus, five times the vitamin A and iron, and twice the other vitamins and minerals.. It is also rich in potassium and is one of the best value foods around So maybe its time to change that well-known phrase so that we say, 'A BANANA a day keeps the doctor away!'.....

@everyone
 
Dawa yake asili sehemu nyingi na inamaliza tatizo kwa 100% mualike mjomba wa huyo mtoto siku hiyo kwako kukaangwe kuku,samaki au nyama chakula anachopenda mjomba husika bila yeye kujua chochote chakula atachotengewa kifutiwe udenda wa huyo mtoto kisha kiwekwe tayari kumtengea mjomba ale bila kujua kinachoendelea,tatizo litaisha mara moja.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Uhakika kabisaa
 
Hii ni ARV ya asili.usiichukulie poa.inafubaza tuu lakini HAITIBU . botanical name is gotu cola
1738428720283.jpg
 
Back
Top Bottom