Habar wapendwa napenda kurudia tena somo la mgagani
Mgagani una matumizi mengi wengi wao waujua km mboga ila pia ni dawa na inatib vitu vifuatavyo
1 inatibu bawasiri (kinyama kinacho ota sehemu ya haja kinda)
Matumizi chukua majani ya mgagani kisha yabrend tia kitu chochote kuondioa harufu kisha kunywa pia chukua majani hayo hayo yafikiche suguria sehem yenye ugonjwa endelea na zoezi hili kisha leta majibu ndani ya mwezi mmoja
2 inatisogeza kizaz karb chukua majani yake yatwange yalainike km kisamvu kisha tafuta kitambaa raini au padi kisha vaa kwa mda wa masaa mawili kisha toa nawa endelea na shughuli zako kisha fanya hivo kwa ck saba inshallah mungu atakufanyia wepesi angalizo usikae nao kwa mda zaidi ya huo mda pia unavuta kiasi kwaiyo yakupasa kuvumilia maana ataftae hachoki akichoka amepata (wahanga wa Kutafuta wapiti)
3 dawa ya kichwa kinacho gonga bila kuacha
Chukua majani yake kisha fikicha pata majimaji kisha kamulia puani kichwa kitaacha kuuma
4 mzizi wake hualakisha kufanya ujifungue haraka kwa wale wanao umwa uchungu kwa mda mrefu
Ww mama kijacho uonapo uchungu umeanza ule mkali chukua mzizi wake anza kutafuna huo mzizi na umeze yale maji mtoto hatochelewa jugular
Angalizo kwa hilo hakikisha umesikia uchungu ule mkali kabisa na uwe umefika hospital ndo utafune usifanye ivo ukiwa nyumban au njiani
5 kubana uke ulio legea au misuli ilio legea pia kuongeza joto matumizi ya hapa ni km yale ya namba Mbili
Na mwisho inatibu fangusi na kukausha majimaji yanayo toa harufu Kari yatokato kwenye K na ni fungus za ukeni mdogo ninazo ongelea nayo matumizi ni km nilio elezea namba mbili angalizo unavaa km unavyo vaa ped sio kuweka ndani na sijawambia mchanganye na asari nimesema ni mgagani tu
Asanten
Km post haikuusu plz pita kushoto
Mambo ni 🔥 🔥 🔥
By magical power
View attachment 3165726