Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Ukiipata tushee picha yake itasaidia kichanga wangu anastuka stuka kweli. Utatusaidia sana
 
Waungwana naulizia dawa ya kisukari, mgonjwa alikatwa kidole kidogo cha mguu mara ya kwanza, sasa hivi kimetokea kidonda kwenye kidole gumba cha mguu mwengine, anahofu ya kukatwa tena maana kimechimba sana... ajuaye dawa please msaada.
Mods naona wamefanya yao nilijibu why wamefuta..
 
Khee! Sasa wamefuta kwa sababu gani jamani, hawataki tupate tiba 🥲
Kuna mods naona anabifu nami Leo ananifutia comments si mchezo!
Anyway sukari ikifikia level ya vidonda ni ngumu kuidhibiti.

Kuna mti unafanana na mzambarau unaota sehemu zenye maji magome yake mkate ya shinani awe anachemsha na kunywa husaidia Sanaa nkipata picha ake nitauweka.unafanana na mzambarau Hadi matunda ila wenyewe una umbile kubwa.
 
Dooh pole sana... ukipata picha please share maana bado sijaufahamu vema huo mti.
 
Mkuu alovera poli dozi ikoje
 
Mkuu ikiwa kama ashazikwa ila badae mmegundua ni mgomba mlizikq ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…