Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Wadau nimeona nianzishe uzi kwaajili ya kumbukumbu zetu. Sisi tuliosoma miongo mitatu iliyopita mtakumbuka baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa na masimulizi ya kuvutia yaliyobeba ujumbe kwaajili ya kuibadilisha jamii.
Binafsi nilipenda kusoma kitabu cha darasa la 4 kilichojaa hadithi za kusisimua. Kiukweli hadithi hizo sanjali na kuburudisha zilibeba ujumbe mhimu sana kwa msomaji ebu jikumbushe hapo
Binafsi nilipenda kusoma kitabu cha darasa la 4 kilichojaa hadithi za kusisimua. Kiukweli hadithi hizo sanjali na kuburudisha zilibeba ujumbe mhimu sana kwa msomaji ebu jikumbushe hapo