Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Vipi Iddi ya kujinja mwaka huu wote tutakula pamoja au tayari utofauti umeshajitokeza ? Maana Mimi Leo najua Dhul hijja mosi kwa bakwata sijajua wametangaza vipi.

Cc : Baljurashi
 
Vipi Iddi ya kujinja mwaka huu wote tutakula pamoja au tayari utofauti umeshajitokeza ? Maana Mimi Leo najua Dhul hijja mosi kwa bakwata sijajua wametangaza vipi.

Cc : Baljurashi
Mimi mwenyewe leo Dhul-Hijja mosi. Bakwata sijafuatilia
 
Kwamba tangu 2022 huu uzi ndio nauona leo?
Hahahahaa!! huu haupo active kama ule wa picha za vituko mtandaoni , ila In Shaa Allaah sasa kuanzia sasa nitauhuisha maana shule zimefungwa nitakuwa na muda mwingi free na WA kuwa online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…