Hakika nimejifunzaaUsidharau kufanya wema wowote hakika wema ni hazina na akiba ya kutumainiwa hata kama ni mdogo kama kokwa ya tende usidharau.
Ukikuta mwiba ,mawe au udhia wowote njiani ondosha huku ukitaraji malipo yaliyokua bora.
View attachment 2305983