Uzi maalumu wa replies za JF members zinazovunja mbavu

Reply ya The bump kwenye uzi wa crazy things you did in secondary school huwa inaniacha hoi kwa kweli[emoji23][emoji23]
Aaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389]

Nimecheka kama nunudu
 
 
Zilikuwa zinahakíkisha anakufa kabisa maana kale kazee kalikuwa kabishi hatari!! Si ajabu kalikuwa kanabishana na Israel mtoa roho,Israel akaona isiwe shida akaagiza radi imalize biashara!!
RADI BILA MVUA HUMAANISHA "MWISHO WA HASIRA ZA MUNGU" NA FARAJA KWA WATU WAKE, AU MWISHO AU UKOMO WA UOVU MKUU.
Mbengo zilisherehekea....
Shetani alikuwa anapiga gun salute kumkaribisha shetani mwenza kuzimu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee
 
Unaona aibu kutamka bidhaa gani kwa mwenye duka mbele ya wateja wengine?
Nimefika kiduka fulani, nilitaka nikanunue maharage, hiyo ni jioni, nakuta mabinti wawili wazuri sijui wanafanya nini, unafanyaje? Nikauliza una tigopesa? Jamaa kasema hana, nikasema kama shujaa
Huyu mwenzetu alikutana na malaika akiwa anatoka kuumwagilia moyo[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…