Uzi maalumu wa side mnyamwezi.

Uzi maalumu wa side mnyamwezi.

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Siku hiyo side mnyamwezi alikutana na mwanamke mzuri.
Akaimbisha akakubaliwa kufika gest saa ya kulala side akataka kwenda kuzima taa yule dem akamzuia side kisha akanyoosha kidole kikawa kirefu hadi kwenye swichi na kuzima.Side acha apige kelele huku akikimbia uchi kutoka nje.kufika nje akamfata mlinzi amuokoe huku akimwambia nimekutana na jini ana mikono mirefu.yule mlinzi akamwambia ahhh mi nilijua umeona kwako kama hizi zangu side akarukwa akili akaanza kukimbia tena.kufika mbele akakutana na mtu tena akawa anaomba msaada ameona mtu ana kwato za mbuzi.yule jamaa akamtuliza side hadi side akapoa baada side kutulia na kumuelezea jamaa akainua suruali kisha akamwambia side hizo kwato ni kama hizi au??!!
side mnyamwezii akazimia.
Tupia na wee stori ya side mnyamwezi kama unayo.
 
Back
Top Bottom