Uzi maalumu wa tetesi na taarifa za usajili wa Dirisha dogo la NBC Premia League

Uzi maalumu wa tetesi na taarifa za usajili wa Dirisha dogo la NBC Premia League

1671193996242.png


“Ni kweli Simba itafanya usajili kulingana na ripoti ya wataalam wetu tutafanya usajili kwenye maeneo machache ambayo tumeona yanamapungufu.

“Kazi ya kusajili ni kazi ya wataalam Naomba hili tuwaachie wataalam, Manzoki, Adebayor, Saido wote ni wachezaji wazuri.

“Wanasimba watafurahi, usajili unakuja, wakina na wanguvu,” Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Sc, Salim Muhene (Try Again).
 
1671194227662.png


Mchezaji Nickson Kibabage ameaga rasmi Mtibwa na klabu imethibitisha kufikia makubaliano ya kumuuza mchezaji huyo.

Taarifa za uhakika zikieleza kuwa Kibabage atasaini mkataba wa miaka mitatu na klabu yake mpya ambayo itawekwa wazi hivi karibuni.
 
Kuna kiongozi wa simba aliwahi kusema kuwa wameshampa kishika uchumba au unajitoa ufahamu
Safari hii mashabiki wa simba wasikubali kuendelea kugeuzwa kuwa mambumbumbu na viongozi wao, kuhusu huyu mchezaji!

Zile story za kumpa kishika uchumba, halafu mwisho wa siku mchezaji hasajiliwi! Zisiwepo kabisa.
 
Aziz Kii bora alikoswa maana hana analofanya la ajabu huko
Aziz ki kaletwa kuifunga simba yaani ukitaka vita na yanga uwaambie mayele na aziz ki sio wachezaji lakini yote kwasababu wameifunga simba.
 
Back
Top Bottom