Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo,

Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja

📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi wa 1-0✔️

📌2)Niger Tornadoes vs Rivers United
Leo hii tarehe 09/04/2023 Rivers watakuwa wageni wa Tornadoes mida ya saa kumi na mbili jioni, hivyo wanayanga na wanamichezo wote tukacheiki gemu hii Ili tuone kiwango cha hawa wanaija
FT:Tornadoes 0-0 Rivers United
 
KILA LA KHERI CHAMA LANGU RIVERS UNITED.

TUNASEMA MTALAKA HATONGOZWI ASANTE CAF KWA KUTULETEA TENA MKWE WETU.
Mke mkubwa una gubu wewe

Sasa aka kabinti kadogo ka Rivers kanakutisha nini!!?

We subiria zamu Yako tarehe 16
 
Hao Rivers hawataamini kitakacho wakuta safari hii! Kwa Yanga hii ya sasa, hakika watakuwa wamevamia mtumbwi wa vibwengo.
 
Yanga bila Nabi ni sawa sawa na Abajalo FC tu.
 
Siyo kweli!! Nabi anabebwa na Kaze!! Nabi bila Kaze ni sawa na nyoka wa Kibisa!! hana meno!!
Hata Yanga wenzio wanasema Kaze akisimamia game wanakuwa hawana amani. Yule nadhani ni msaada mkubwa kwenye ukalimani ila kusimamia timu peke yake anapata shida.

Inawezekana labda wachezaji hawamuheshimu akiwa peke yake.
 
Back
Top Bottom