Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo,
Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja
π1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi wa 1-0βοΈ
π2)Niger Tornadoes vs Rivers United
Leo hii tarehe 09/04/2023 Rivers watakuwa wageni wa Tornadoes mida ya saa kumi na mbili jioni, hivyo wanayanga na wanamichezo wote tukacheiki gemu hii Ili tuone kiwango cha hawa wanaija
FT:Tornadoes 0-0 Rivers United