asiyetabirika
Member
- Oct 14, 2019
- 46
- 56
Mkuu pole sana ni wapi huko,ALAF ni baba lao aisee ila mwenzenu nimesimamisha ujenzi huku CEMENT IMEPANDA MFUKO NI 22,000 TSH
Duu wapi huko?? Pole sana, huku sisi 13,500/ na tunalalamika.ALAF ni baba lao aisee ila mwenzenu nimesimamisha ujenzi huku CEMENT IMEPANDA MFUKO NI 22,000 TSH
ALAF ni baba lao aisee ila mwenzenu nimesimamisha ujenzi huku CEMENT IMEPANDA MFUKO NI 22,000 TSH
Kaka, ALAF na wengine tofauti yao ni Coating tu, ila ubora wa gauge ni ule ule sema ALAF kwenye coatingi ndipo anawapigia wapinzani wake
Nachojua Alafu anaweka aluminium nyingi kuliko iron na hii husaidia bati kutopata kutu na kupauka ndani ya Muda mrefu.
Daaaahhhhhh, sawa, ipo siku utaelewa
Mkuu pole sana ni wapi huko,
ALAF nakubaliana kabisa na wewe kiongozi , wengine wababaishaji tuALAF ni baba lao aisee ila mwenzenu nimesimamisha ujenzi huku CEMENT IMEPANDA MFUKO NI 22,000 TSH
PointNachojua Alafu anaweka aluminium nyingi kuliko iron na hii husaidia bati kutopata kutu na kupauka ndani ya Muda mrefu.
Mafundi fungukeni hizi ndio kazi zenyeweNami nauliza tiles nzuri za kuweka kwenye nyumba ni zipi? Na je kwa nyumba ya urefu wa mita 8 na upana mita 6 (mstatili) haina kona kona nyingi inaweza nigharimu kiasi gani kwa gharama za tiles tu? Msaada wajuvi wa mambo ili nifanye finishing kwenye kibanda changu, niko mwanza ilemela.
Well hata coating tu huoni ALAF ni bora zaidi mkuuKaka, ALAF na wengine tofauti yao ni Coating tu, ila ubora wa gauge ni ule ule sema ALAF kwenye coatingi ndipo anawapigia wapinzani wake
Bei rahisi inaumiza asee bora mtu ujipange taratibu uchukue kitu cha uhakikaSisi huku mtaani tumenunua sawa na kuezeka kipindi kimoja wenzangu wakafuata bei pungufu DRAGON leo langu linang'aa tofauti na wenzangu.
Eti unakuta bati ya migongo mipana ya rangi inauzwa 21,000 na MTU anafurahia bei huku akiona wewe uliyenunua Bati LA 35,000 umeibiwa...uzuri matokeo huwa hayachelewiBei rahisi inaumiza asee bora mtu ujipange taratibu uchukue kitu cha uhakika
ALAF nakubaliana kabisa na wewe kiongozi , wengine wababaishaji tu
Mkuu bati za alaf kwa kanda ya kaskazini wanauzaje kwa mita kwa geji 28 na 30? Je kuna madhara gani endapo nitaezekea geji 30?We unajua kwa nini tenda ya mabati ya miradi ya majengo ya serikali kapewa ALAF.Ni kwa sababu ya ubora wao