Uzi maalumu wa vyakula vya mkoa wa Kigoma (Dagaa na migebuka)

Uzi maalumu wa vyakula vya mkoa wa Kigoma (Dagaa na migebuka)

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi kavu...

Haka kauzi ni maalumu kwa ajili ya kuonyesha chukala asilia cha watu wa kigoma.
KARIBUNI KIGOMA
12948c7414c76b525538f8d8ed70dc10.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hii kitu inaitwa Dagaa mteke.. ni dagaa wabichi waliopikwa na kuungwa mawese ukiipatia ugali wa muhogo au ugali wa lowe Dar hurudi tena
9469fdd51ff1c9accd3c4a36f99cee77.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Wakazi wa vijiji vya Herembe, sigunga, kapalamsenga, Mgambo, Igarura au kibirizi, Mwamgongo watakua wanajua iki kitu.. kinaitwa MBANI hapo dagaa zinachomwa zikiwa na pilipili kichna chumvii
client3
91c91c1683def3f396b47b5b40f80247.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom