Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayayaaaaa mkuu hiki kitu kinavuliwa kule kwa maharamia wa treni.. Wapii kule pamenitoka kijiji kinachofuata baaada ya malagarasi kama unavuka na basi.. kuna kambale kinoma
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ugali wa lowe...
Ukifika uvinza utaukuta umejaa teleee![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Daah mkuu acha tuuHahahaha, mkuu naona una buru NNE za ugali hapo,dah hy kitu si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mteke kwa kivunde ni mwisho wa reli, chezea hangine, hapo ni bureki.Hii kitu inaitwa Dagaa mteke.. ni dagaa wabichi waliopikwa na kuungwa mawese ukiipatia ugali wa muhogo au ugali wa lowe dar hurudi tena![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Chezea hengine hangu ni kugumu.. haragumye...Mteke kwa kivunde ni mwisho wa reli, chezea hangine, hapo ni bureki.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mkuu acha tuu
Hizo kitu zikifika tumboni hazitoki leo..
Unakaa nazo hata siku mbili
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mteke kwa kivunde ni mwisho wa reli, chezea hangine, hapo ni bureki.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mgebuka naumisi hatari. Sidhani kama kuna samaki na dagaa watamu duniani kama wa Ziwa Tanganyika.Chezea hengine hangu ni kugumu.. haragumye...
Hapo mkuu ukipate kivundee lazima jasho jembamba likutoke
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sisi kwetu ugali wa lowe ni snacks tu main course saa saba hapo inaletwa nguna ya kufa mtu hafu mko mtu nne..Hahahaha ,halafu nishazoea kula ugali na kambale au migebuka asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app