Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi kavu...
Haka kauzi ni maalumu kwa ajili ya kuonyesha chukala asilia cha watu wa kigoma.
KARIBUNI KIGOMA
Wakazi wa vijiji vya Herembe, sigunga, kapalamsenga, Mgambo, Igarura au kibirizi, Mwamgongo watakua wanajua iki kitu.. kinaitwa MBANI hapo dagaa zinachomwa zikiwa na pilipili kichna chumvii client3
Ayayaaaaa mkuu hiki kitu kinavuliwa kule kwa maharamia wa treni.. Wapii kule pamenitoka kijiji kinachofuata baaada ya malagarasi kama unavuka na basi.. kuna kambale kinoma