ku share sigara moja haiwezi kusababisha maambukizi ya magonjwa kwani bakteria wote hufa kwenye ule moshi mkali wa sigara!Jihadharini na kifua kikuu. Kuna madogo mtaani wameambukizana kisa kupasiana fegi na ganja....
Kama unavuta vuta yako mtu akiomba mgee yake ila usivute sigara moja.
October 29 massacre iliondoka na binamu yangu baada ya kutoka nje kufuata sigara dukani,mkewe alituambia alisema tu naenda kununua fegi hapo nje akarudi wa kuzika.Angalizo,usivute sigara maeneo ya umma,ukiwa na arosto ya sigara,toka eneo la umma,nenda eneo tulivu vuta sigara zako rudi endelea na kazi.
Mkuu.ku share sigara moja haiwezi kusababisha maambukizi ya magonjwa kwani bakteria wote hufa kwenye ule moshi mkali wa sigara!