Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu sura za kiumeDah kwa nini mkuu
Kumbe utani ameleta yeyeKuna mtu nilimtumia picha yangu.. 'tater hebu acha utani, nitumie picha yako na si ya watu wenye sura za ajabu ajabu'.. Sasa sijui nani alikua ana utani nae..
Ni aibu kwa mwanaume kuiga kwa binti aina ya bandiko.
Kumbe utani ameleta yeye
SAY WHATNapenda wanaume wenye sura ngumu jamani..uwe mwanaume mrefu kifua kipana hivi ..unanikaza nakazika wallah nitakuibia passport size zote
Napenda wanaume wenye sura ngumu jamani..uwe mwanaume mrefu kifua kipana hivi ..unanikaza nakazika wallah nitakuibia passport size zote
[emoji3][emoji3]
Kitambi kikifanyiwa mazoezi mbona kinatoka hichoSifa zote ninazo ila nina kitambi.. Naweza nikafikiriwa.!?
Kitambi kikifanyiwa mazoezi mbona kinatoka hicho
Mwisho wa manyanyaso umefika..anza zoezi tusongese gurudumuNgoja nianze zoezi.. Huenda Mungu kasikia kilio changu.. Nimenyanyasika sana na hili lisura..
Mwisho wa manyanyaso umefika..anza zoezi tusongese gurudumu
Uzi haukuhusu huuNaona tumeitwa humu