UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

Ni aibu kwa mwanaume kuiga kwa binti aina ya bandiko.
 
Kweli bwana mwanaume unatakiwa uwe na sura ngumu sura ya kiume
Umeongea ukweli, ila linapokuja swala la mahusiano, huwa mnatutenga sana unless tuwe na Pesa mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…