UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

Aisee nimechelewa kuuona uzi wa nyumbani huu.
Nadhani njia pekee ya sisi wanaume wabaya kujikomboa ni kutafuta pesa tu.
Hivihivi tunaweza kutoka patupu kabisaa

Kuna wengine wanakimbia hawajali hiyo pesa..Kuna mmoja alinikimbia kisa akilala na mimi anaota ndoto za kutisha, mwingine wakati wa 'kukulana' akiniangalia usoni hamu yote ya kungonoka inaisha...
 
Izi suraNgumu ni kusema hazikatikagi ukikata kwa panga si ndio?
 
Yaani sisi ni 'special case'.. Huwi na presha za uchepukaji...
Hakika,nyinyi ndo mahusband material[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…