UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

Mh ,v,,:::,,: _v,,::,:,vvvvvvv::::v:,:,,_,_,,, :: vvvvvvc,,,,_,,:::,, ,, ,,,_,,, v, ,_,,,,v,,, :,,:,,,_,,,,, ,,,vvv ,,v,,,::,, ,v,CV,v
 
Hii sura yangu inatumika kuwalisha na kuwalaza watoto..

Mtoto akiwa anakataa akiambiwa 'naenda kumwita Anko Tater' kwa kasi ya kimondo anafanya anachoambiwa na kilio juu 'mama usimuite namuogopa'...

[emoji23][emoji23]
 
Cc: Jiwe, malaika,kichaa,mzee wa flastlesheni, mzee wa kolifikesheni[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
IMG_20181201_114649.jpg


sura ya Kazi....
 
mwanaume umeoa alafu unazaa watoto nje ya ndoa yako, si bora upige puli.
 
Back
Top Bottom