UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

Write your reply...mkishamaliza kutoa ushuhuda kapimemi watoto wenu dna .hakuna mwanamke anaependa kuharibu mtoto wako nimeongea tu japo sina sura laini
 
Enzi zangu nikiwa monitor (primary school) nilikuwa nikisikia madarasa ya jirani kuna kelele nilikuwa naingia na kuwatazama wanafunzi wote kisha wananyamaza moja kwa moja!
 
Enzi zangu nikiwa monitor (primary school) nilikuwa nikisikia madarasa ya jirani kuna kelele nilikuwa naingia na kuwatazama wanafunzi wote kisha wananyamaza moja kwa moja!
Me nlikuw kiranja wa chakula(Bwalo) nkisimama pale mbele waliokaa pemben wanarud kwny mstari, na nlikuw mrefu japo sikuw na nyama
 
Acha utani bwana! Hebu sema lolote kuhusu sura ya Benny Kinyaiya. Je ni ya kiume??
Haya hii ni sura ya kiume??
IMG_20181202_173711_867.JPG
 
Attachments

  • IMG_20181202_173711_867.JPG
    IMG_20181202_173711_867.JPG
    24.9 KB · Views: 31
me nasemaga wanawake wanahuruma mpka meme nina mademu wa kwenda!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume nimehurumiwa sura ukoo wa makande

Mungu awajalie aisee muwe na moyo huohuo
 
Back
Top Bottom