Ndo maana siku hizi tunawapenda nyie japo mnatutisha[emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]Tunajua kuwa hamtushobokei ndo mana tunahonga kupita kiasi
Imy too jakiiYaani ya kwake peke ake
IMY ledadaView attachment 954847
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hela ipo mbona handsome kabisa weweTupo watu tuna sura ngumu kama nyuma ya sufuria..[emoji16]
Kweli kasmart [emoji2222][emoji2222][emoji2222]Hahaha masihara hayo shiro
Thanks shiro!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baby wangu huwa ananiambiga...
MUSEMA KWERI NI MUPENZI WA MUNGU... Una sura mbaya ila kivuli chako ni kizuri jamani...
we sio mgumu..nakufananisha na kaka m1 amemaliza ifm 2yrs ago hv[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
πππKwenye jukwaa la warembo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu acha kunitukana, kwamba mm sio mgumu??? gerarahiaaawe sio mgumu..nakufananisha na kaka m1 amemaliza ifm 2yrs ago hv
πππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu acha kunitukana, kwamba mm sio mgumu??? gerarahiaaa
ππππnakojoaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hela ipo mbona handsome kabisa wewe
Pesa kwanza sura mtavumilia, ni bora uvumilie sura mbovu kuliko kuvumilia mwanaume asiye na mijihela.Ndo maana siku hizi tunawapenda nyie japo mnatutisha[emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Mungu ni mwemaNawasalimu wazee wa Sura personal, nimekuja ona huwa tunakuwaga na bahati ya kuoa wadada wakali hataree! Na huwa wanakuwag wametulia sana.. Kumbe huwez nyimwa vyote
mkuu huu uzi inabidi uachane naoWenye sura laini wanakoment wapi????