UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

Yaani ya kwake peke ake
IMY ledadaView attachment 954847
Imy too jakii
IMG_20181017_064135.jpeg
 
Kwa wale wenzangu ambao tuna sura kama tumedondokewa na tope la lami tujitahidi piga ua tuwazalishe wanawake wazuri maana tukikosea tu tukazalisha wale wadada wenye sura mjomba. Tufahamu mbeleni tutawapa shida sana watoto wetu kwenye fursa mbalmbal za dunia hii
 
Ndo maana siku hizi tunawapenda nyie japo mnatutisha[emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Pesa kwanza sura mtavumilia, ni bora uvumilie sura mbovu kuliko kuvumilia mwanaume asiye na mijihela.
 
Nawasalimu wazee wa Sura personal, nimekuja ona huwa tunakuwaga na bahati ya kuoa wadada wakali hataree! Na huwa wanakuwag wametulia sana.. Kumbe huwez nyimwa vyote
 
Back
Top Bottom