Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mtu mmoja atari saanaWho is Mayele?
Ana nini special? naskia jina tu ningependa kufahamu umarufu wake hasa umetokana na nini ukiacha kuwa ni mchezaji wa YangaMtu mmoja atari saanaView attachment 2178467
Ametoa nyimbo mpya na diamond paltnamziiiiAna nini special? naskia jina tu ningependa kufahamu umarufu wake hasa umetokana na nini ukiacha kuwa ni mchezaji wa Yanga
Jamani. Nipo serious ujueAmetoa nyimbo mpya na diamond paltnamziiii
Ni mchezaji wa yanga kiufupi naweza sema ndo super star wa yanga kwa sasa, mechi nyingi katupia magoli anaitwa Mayele. Wanaomfaham vizuri watakupa data kamili.Jamani. Nipo serious ujue
Nashukuru sana!Ni mchezaji wa yanga kiufupi naweza sema ndo super star wa yanga kwa sasa, mechi nyingi katupia magoli anaitwa Mayele. Wanaomfaham vizuri watakupa data kamili.
Utawaweza wabongoNashukuru sana!
Hujawahi ona padri kavaa kanzu? Kwanini vazi la kanzu ulihusianishe na uislam?Hivi huyu jamaa ni muislam?? Au kavaa tu kanzu?