Uzi Mahsusi wa kuweka picha mbalimbali za Ndugu Fiston Mayelle

Uzi Mahsusi wa kuweka picha mbalimbali za Ndugu Fiston Mayelle

Ana nini special? naskia jina tu ningependa kufahamu umarufu wake hasa umetokana na nini ukiacha kuwa ni mchezaji wa Yanga
Dada yangu,huyu mhuni hana Cha pekee zaidi ya kutetema km amepigwa na shoti ya umeme.
 
Ni mchezaji wa yanga kiufupi naweza sema ndo super star wa yanga kwa sasa, mechi nyingi katupia magoli anaitwa Mayele. Wanaomfaham vizuri watakupa data kamili.
Umesema vema,kuwa ni Super star wa Yanga.
 
Back
Top Bottom