Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Apr 9, 2022 #21 Demi said: Ana nini special? naskia jina tu ningependa kufahamu umarufu wake hasa umetokana na nini ukiacha kuwa ni mchezaji wa Yanga Click to expand... Dada yangu,huyu mhuni hana Cha pekee zaidi ya kutetema km amepigwa na shoti ya umeme.
Demi said: Ana nini special? naskia jina tu ningependa kufahamu umarufu wake hasa umetokana na nini ukiacha kuwa ni mchezaji wa Yanga Click to expand... Dada yangu,huyu mhuni hana Cha pekee zaidi ya kutetema km amepigwa na shoti ya umeme.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Apr 9, 2022 #22 Albahi said: Ni mchezaji wa yanga kiufupi naweza sema ndo super star wa yanga kwa sasa, mechi nyingi katupia magoli anaitwa Mayele. Wanaomfaham vizuri watakupa data kamili. Click to expand... Umesema vema,kuwa ni Super star wa Yanga.
Albahi said: Ni mchezaji wa yanga kiufupi naweza sema ndo super star wa yanga kwa sasa, mechi nyingi katupia magoli anaitwa Mayele. Wanaomfaham vizuri watakupa data kamili. Click to expand... Umesema vema,kuwa ni Super star wa Yanga.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Apr 9, 2022 #23 Mtoto halali na hela said: Ni upepo tu unapita Click to expand... Kweli kabisa,na ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka.
Mtoto halali na hela said: Ni upepo tu unapita Click to expand... Kweli kabisa,na ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Apr 9, 2022 #24 chokodari said: Hivi huyu jamaa ni muislam?? Au kavaa tu kanzu? Click to expand... Huyo ni bendera fuata upepo.
chokodari said: Hivi huyu jamaa ni muislam?? Au kavaa tu kanzu? Click to expand... Huyo ni bendera fuata upepo.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Apr 9, 2022 #25 Fall Army Worm said: Dada yangu,huyu mhuni hana Cha pekee zaidi ya kutetema km amepigwa na shoti ya umeme. Click to expand... Inawezekana huko kutetema kwake ndo upekee alionao
Fall Army Worm said: Dada yangu,huyu mhuni hana Cha pekee zaidi ya kutetema km amepigwa na shoti ya umeme. Click to expand... Inawezekana huko kutetema kwake ndo upekee alionao
C chokodari JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,380 Reaction score 1,191 Apr 10, 2022 #26 nguvu said: Hujawahi ona padri kavaa kanzu? Kwanini vazi la kanzu ulihusianishe na uislam? Click to expand... Vazi hilo ni tofauti na la kikristo kabisaa hili ni vazi la waislam tambua hilo kilaza wewe
nguvu said: Hujawahi ona padri kavaa kanzu? Kwanini vazi la kanzu ulihusianishe na uislam? Click to expand... Vazi hilo ni tofauti na la kikristo kabisaa hili ni vazi la waislam tambua hilo kilaza wewe
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,133 Reaction score 26,766 Apr 10, 2022 #27 nguvu said: Hujawahi ona padri kavaa kanzu? Kwanini vazi la kanzu ulihusianishe na uislam? Click to expand... Shangaa ambiwa
nguvu said: Hujawahi ona padri kavaa kanzu? Kwanini vazi la kanzu ulihusianishe na uislam? Click to expand... Shangaa ambiwa