UZI SPECIAL FOR JF STORY WRITERS:Tunga kisa chochote cha kutisha kisichozidi maneno 50

UZI SPECIAL FOR JF STORY WRITERS:Tunga kisa chochote cha kutisha kisichozidi maneno 50

Mish Albert

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
657
Reaction score
581
Khabari wanajamvi!!!!

Kama kichwa cha habari kinavyonong'oneza hapo juu

Tunga kisa kifupi cha kutisha kisichozidi maneno 50

Kwa mfano;

1."Ni usiku,upo chumbani kwako unajiandaa kulala
Unasikia sauti ya mama yako jikoni ikikuita

Unatoka chumbani na kuelekea jikoni,ukiwa njiani Ghafla unavutwa mkono kwa nguvu na kurudishwa chumbani

Kuangalia aliyekuvuta ni mama yako,Anakwambia Huku akitetemeka "Usiende mwanangu,hata mimi hiyo sauti nimeisikia"

2.Leo

Ni usiku wa manane,nipo usingizini ghafla mke wangu ananiamsha

Huku mapigo ya moyo wakimwenda mbio

Ananambia,"Mme wangu amka,kuna mvamizi nyumbani"

....Cha ajabu,Mke wangu aliuwawa miaka minne iliyopita na mtu asiyejulikana

3.Kicheko cha mtoto,hufurahisha pale unapokuwa mezani ukila chakula cha mchana na familia yako

Ila huwa tofauti,unapokisikia saa saba za usiku ndani ya chumba chako wakati upo peke yako chumbani

Kazi kwenu!
 
Nikiwa tayari nimefanikiwa kukata kichwa cha ile maiti iliyokuwa imelazwa mwisho wa chumba nakufanikiwa kurudisha kila kitu katika hali yake ghafla taa iliwaka na kuja kuangalia alikuwa ni mganga mkuu na maaskari polisi wawili wenye pingu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu si leo ni jumapili uweke hata mahubiri basii!!!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu si leo ni jumapili uweke hata mahubiri basii!!!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] muda wa kusali umeshapita

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Khabari wanajamvi!!!!

Kama kichwa cha habari kinavyonong'oneza hapo juu

Tunga kisa kifupi cha kutisha kisichozidi maneno 50

Kwa mfano;

1."Ni usiku,upo chumbani kwako unajiandaa kulala
Unasikia sauti ya mama yako jikoni ikikuita

Unatoka chumbani na kuelekea jikoni,ukiwa njiani Ghafla unavutwa mkono kwa nguvu na kurudishwa chumbani

Kuangalia aliyekuvuta ni mama yako,Anakwambia Huku akitetemeka "Usiende mwanangu,hata mimi hiyo sauti nimeisikia"

2.Leo

Ni usiku wa maneno,nipo usingizini ghafla mke wangu ananiamsha

Huku mapigo ya moyo wakimwenda mbio

Ananambia,"Mme wangu amka,kuna mvamizi nyumbani"

....Cha ajabu,Mke wangu aliuwawa miaka minne iliyopita na mtu asiyejulikana

3.Kicheko cha mtoto,hufurahisha pale unapokuwa mezani ukila chakula cha mchana na familia yako

Ila huwa tofauti,unapokisikia saa saba za usiku ndani ya chumba chako wakati upo peke yako chumbani

Kazi kwenu!
1 & 2 stor kali hongera
 
images
images
 
"Insuka" vijana wa miaka ya 90's na mwanzo mwa miaka ya 2000 wameelewa nini hicho
 
Ikawa saa sita mchana mwezi wa 11 2017 members wengi wapo JF wakiperuzi, taarifa ikasikika kwenye vyombo vyote vya habari ikiwamo JF yenyewe kwamba kuanzia saa sita siku ya leo mtandao huu pendwa utazimwa. Kimya kikatawala, vidole vikaganda watu wasijue cha kufanya.....😡😡😡😡
 
Tukiwa katika hali ya utupu Mimi na mpenzi wangu baada ya kumaliza game mara nasikia sauti, "fungua mlango, fungua mlango" Kabla sijafanya chochote mpenzi wangu ananiambia, hii sauti ni ya baba pamoja na Mwl Ngowi.Mwalimu? Nauliza kwa mshtuko! Ndiyo, watakuwa wananitafuta niende shule maana nina mwezi mzima sijaenda shule.Bebi, mimi form two inanitosha.Nataka unioe mpenzi..
 
Tukiwa katika hali ya utupu Mimi na mpenzi wangu baada kumaliza game mara nasikia sauti, "fungua mlango, fungua mlango" Kabla sijafanya chochote mpenzi wangu ananiambia, hii sauti ni ya baba pamoja na Mwl Ngowi.Mwalimu? Nauliza kwa mshtuko! Ndiyo, watakuwa wananitafuta niende shule maana nina mwezi mzima sijaenda shule.Bebi, mimi form two inanitosha.Nataka unioe mpenzi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukiwa katka mchezo pendwa wa mgegedo mimi na kademu kangu acha bana si tukanatana kama ma-mbwa looh...
 
Back
Top Bottom