tehteehh.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Demiss kila siku papuchi yake haimwachi mtu salama
Sawa kuna tatizoSina usemi ila sikujua kama ndo wewe ulikua unafanyia mapigo ya chungulia sasa GuDume alikua anazunguka zunguka kwa nini asingetuambia tu show la kibabe lilikua kati yake na mrembo Demiss
Avatar gan tenaaahhhhh AVATAR hy itatutoa BARUUUUUU!!!!!
Nilitaka tu povu lako mkuu na mrembo wako Demiss, ila kwani mkuu kutoifahamu Dar ni ushamba au kuifahamu ni ujanja?Kuna mambo mawili.. naaam..... matatu ninayo yaona kwa mleta thread
1. inawezekana ni mshamba flani ambaye ameangalia atoke vipi akaona atoke kwa kumshambulia mwanaume huyu gudume
2. haijui hiyo hotel au pengine hajui anachozungumza
3. ameamua kuandika kufurahisha genge na watu wa aina yake. au alitaka kuonesha anafaham law school ilipo
hii chini ni hotel anayosema huwezi hata chungulia dirishani sababu imezibwa na ukutwa? au pengine haifaham City Style Hotel iliyopo Sinza. muwe mnauliza kabla ya kuandika ni jambo zuri kuwa na Data kamili. Mi hapa nataka Ujue tu Gudume si size yako .. ana akili na anandika kitu anachokifahamu.
View attachment 703664
View attachment 703665
Mkitoka Bush Countries nyie wadau wengine mkifika Town Badala kuongea vizuri na sisi wenyeji ninyi mnaamua kuanzisha Beef za kitoto ili ndo nanyi Mtoke. Kesho na keshokutwa mnakuja kulalamika kuwa... anyway. mi siwezi bishana na wewe ila wenye akili wanaweza kuona hii hotel na hizo sifa ulizotoa wewe....
si tushaamua kupiga story babe wangu au/Avatar gan tenaaa
SafiiiiiiiNimeshakuja mamy Gudume + Gujike Demiss
Na maswala ya kusema Demiss ndo Gudume mkomeee kuanzia leo mm ni mwanamke nina kitumbua na manyonyooooo
Nilitaka tu povu lako mkuu na mrembo wako Demiss, ila kwani mkuu kutoifahamu Dar ni ushamba au kuifahamu ni ujanja?
Kama nakuona ulivyokua unatokwa jasho mzee wa kitambaa cheupe imebidi uigoogle kabisa hotel
Unaufahamu ule wimbo wa rayvann unaitwa natafuta kiki?Hivi ukiandika uzi wako bila kumtaja Demiss na Gudume unapungukiwa nn mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na maswala ya kusema Demiss ndo Gudume mkomeee kuanzia leo mm ni mwanamke nina kitumbua na manyonyooooo