Uzi special kwa ajili ya Kaka yangu Gudume

Uzi special kwa ajili ya Kaka yangu Gudume

Sina usemi ila sikujua kama ndo wewe ulikua unafanyia mapigo ya chungulia sasa GuDume alikua anazunguka zunguka kwa nini asingetuambia tu show la kibabe lilikua kati yake na mrembo Demiss
Sawa kuna tatizo
 
Kuna mambo mawili.. naaam..... matatu ninayo yaona kwa mleta thread
1. inawezekana ni mshamba flani ambaye ameangalia atoke vipi akaona atoke kwa kumshambulia mwanaume huyu gudume
2. haijui hiyo hotel au pengine hajui anachozungumza
3. ameamua kuandika kufurahisha genge na watu wa aina yake. au alitaka kuonesha anafaham law school ilipo

hii chini ni hotel anayosema huwezi hata chungulia dirishani sababu imezibwa na ukutwa? au pengine haifaham City Style Hotel iliyopo Sinza. muwe mnauliza kabla ya kuandika ni jambo zuri kuwa na Data kamili. Mi hapa nataka Ujue tu Gudume si size yako .. ana akili na anandika kitu anachokifahamu.
View attachment 703664
View attachment 703665

Mkitoka Bush Countries nyie wadau wengine mkifika Town Badala kuongea vizuri na sisi wenyeji ninyi mnaamua kuanzisha Beef za kitoto ili ndo nanyi Mtoke. Kesho na keshokutwa mnakuja kulalamika kuwa... anyway. mi siwezi bishana na wewe ila wenye akili wanaweza kuona hii hotel na hizo sifa ulizotoa wewe....
Nilitaka tu povu lako mkuu na mrembo wako Demiss, ila kwani mkuu kutoifahamu Dar ni ushamba au kuifahamu ni ujanja?

Kama nakuona ulivyokua unatokwa jasho mzee wa kitambaa cheupe imebidi uigoogle kabisa hotel
 
.
Nilitaka tu povu lako mkuu na mrembo wako Demiss, ila kwani mkuu kutoifahamu Dar ni ushamba au kuifahamu ni ujanja?

Kama nakuona ulivyokua unatokwa jasho mzee wa kitambaa cheupe imebidi uigoogle kabisa hotel
 
Na maswala ya kusema Demiss ndo Gudume mkomeee kuanzia leo mm ni mwanamke nina kitumbua na manyonyooooo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umenikumbusha kiswahili cha wakenya hasa kwenye utafasiri wa DJ afro eti manyonyoooo,
Demiss achana nao mwaya hao wanakuonea wivu tu

Lukwafya
 
kama kwa namna yoyote ile iwe kwa maamuzi yako binafsi au kushawishiwa na mtu uliwahi mara moja au zaidi ya mara moja kuamini uzi wowote wa Gudume anapokuwa ndani ya jukwaa la MMU basi wewe una tatizo fulani la msingi sana na ni vizuri ukamuona mtaalamu wa masuala ya saikolojia.

usijaribu kumuamini huyu mtu akiwa MMU ila unapokutana nae kule INTELIJENSIA huwa ni kisima cha fikra na elimu tosha.
 
Back
Top Bottom