Uzi special kwa ajili ya Kaka yangu Gudume

Uzi special kwa ajili ya Kaka yangu Gudume

haya njoo hapa nikujibu mm ndo Gudume na Demiss nimemwambia alale kidogo mfyuuu..
Wewe mleta uzi njooo hapa haraka kabla sijapotea
 
Kuna mambo mawili.. naaam..... matatu ninayo yaona kwa mleta thread
1. inawezekana ni mshamba flani ambaye ameangalia atoke vipi akaona atoke kwa kumshambulia mwanaume huyu gudume
2. haijui hiyo hotel au pengine hajui anachozungumza
3. ameamua kuandika kufurahisha genge na watu wa aina yake. au alitaka kuonesha anafaham law school ilipo

hii chini ni hotel anayosema huwezi hata chungulia dirishani sababu imezibwa na ukutwa? au pengine haifaham City Style Hotel iliyopo Sinza. muwe mnauliza kabla ya kuandika ni jambo zuri kuwa na Data kamili. Mi hapa nataka Ujue tu Gudume si size yako .. ana akili na anandika kitu anachokifahamu.
city-style-hotel-4461-fd428bd22b23bf413d428e109c4159399fa8db69.jpeg

1df7a2d6b577aff5aea311f6fa9f2371a6facb37.jpeg


Mkitoka Bush Countries nyie wadau wengine mkifika Town Badala kuongea vizuri na sisi wenyeji ninyi mnaamua kuanzisha Beef za kitoto ili ndo nanyi Mtoke. Kesho na keshokutwa mnakuja kulalamika kuwa... anyway. mi siwezi bishana na wewe ila wenye akili wanaweza kuona hii hotel na hizo sifa ulizotoa wewe....
 
Ndo mm unasemaje
Sina usemi ila sikujua kama ndo wewe ulikua unafanyia mapigo ya chungulia sasa GuDume alikua anazunguka zunguka kwa nini asingetuambia tu show la kibabe lilikua kati yake na mrembo Demiss
 
Na maswala ya kusema Demiss ndo Gudume mkomeee kuanzia leo mm ni mwanamke nina kitumbua na manyonyooooo
 
Back
Top Bottom