ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Haya wale ambao bado hatujaoa unatumia mbinu gani kufua nguo zako. Me kwa upande wangu kwa kuwa sijaoa bado huwa nazikusanya navaa tu week nzima ikifika jumapili anakuja mdada fulani Nampa 2000 namnunulia na sabuni ya doffi anafua zote.
Nisichompa Ni boxer tu zenyewe nazikusanya jumamoss nafua mwenyewe boxer zangu saba.hii kazi siipendi kinyama masuala ya kusugua nguo hadi itakate dah mambo mengi eti Nina ma file mengi sana kichwa Cha Moto nawaza ntapatia wapi huo mda wa ku deal na nguo zangu.share experience yako hapa