Uzi special kwa mabachelor tunaojifulia nguo zetu wenyewe

Uzi special kwa mabachelor tunaojifulia nguo zetu wenyewe

Wakati naishi Dom kuna wamama watu wazima huwa wakuja kila siku alfajiri na mapema wanadeki korido, vyooni na uani so wakati naenda job natoa nguo namuachia na hela na Sabuni nakuja kuanua jioni nikitoka job. it was very simple
 
Mashine ya kufua ya laki 4 au 5 tu.. inasolve tatizo sana..

Sema wabongo hatuna utamaduni wa kununua mashine tu.. sio kama hatuna hela... sababu bei za mashine ni ndogo kuliko bei za simu na tv ambazo watu wanazimiliki...

Ukinunua mashine ya kufua.. utagundua ulikuwa mpuuzi sana kuchelewa kuinunua.. maana kufua sio kazi ya kupoteza muda na kuumiza kichwa
 
Mjombaaaa mjombaaaaaaa mimi ni nani niwe wa mwisho kumuelewaa huyu mkuu...

Kuna kukunja nguo na kunyoosha kama sio kunyoshana
Hahahah kabsa mjombaa, tumemuelewa
 
Back
Top Bottom