Uzi special kwa mabachelor tunaojifulia nguo zetu wenyewe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Haya wale ambao bado hatujaoa unatumia mbinu gani kufua nguo zako. Me kwa upande wangu kwa kuwa sijaoa bado huwa nazikusanya navaa tu week nzima ikifika jumapili anakuja mdada fulani Nampa 2000 namnunulia na sabuni ya doffi anafua zote.

Nisichompa Ni boxer tu zenyewe nazikusanya jumamoss nafua mwenyewe boxer zangu saba.hii kazi siipendi kinyama masuala ya kusugua nguo hadi itakate dah mambo mengi eti Nina ma file mengi sana kichwa Cha Moto nawaza ntapatia wapi huo mda wa ku deal na nguo zangu.share experience yako hapa
 
Huyo mdada mwishowe utamla
Hapana siwezi kufanya hivo weekend nakuwa home na nilipopanga Watu Ni Wengi na chumbani kwangu hana mazoea ya kuingia ndani ye anaishia nje tu japo na ye sometimes anakujaga kuwa romantically Basi yu kwa kuwa jumapili huwa naka upako flani morning si unajua watu na church lazim uogope kdg
 
Hiyo romantically nimeilewa sana mkuu
 
Nipo yani icho kipengele cha kufua sikipendi ila sina namna bora nipeleke dry cleaner kuliko nifuliwe, hao wanaofua sometimes hawatakatishi nguo na unamlipa. Me huwa najifulia zangu jumamosi au jpili.
 
Nipo yani icho kipengele cha kufua sikipendi ila sina namna bora nipeleke dry cleaner kuliko nifuliwe, hao wanaofua sometimes hawatakatishi nguo na unamlipa. Me huwa najifulia zangu jumamosi au jpili.
kuna videmu vingi tu mtaani...kwa nini usikikifiche kimoja ndani kiwe kinakufulia
 
Mimi nafua mwenyewe aseee ijapokuwa sipendi depo za kufua nguo...pesa bora ninunue matunda nile tu [emoji3][emoji3]
 
Mimi nakaa two weeks ndo nafua ...japo kwa mbinde sana mtihani upo kwenye kuzikunja kuweka kwenye begi ..hapo zinaweza kukaa pembeni ya kitanda nachagua mojamoja kuvaa mpka zichafuke tena labda aje mtoto wa watu ndo akunje
 
Hizi kazi za udobi haki ya Mungu siupendi nitanunua mashine kupunguza haya mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…