Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Hizi za msingi zilitukazia sana tusibe nyama tusije kuwa kama ShokoTamaa mbele ( tamaa mbaya yenye kudhuru watu ), Mauti nyuma
Unapoint usikilizwe1.Nzi hata ajitutumue vipi hawezi kuzalisha asali.
2.Nzi hata umuweke kwenye mzinga miaka 1000 hawezi kuzalisha asali.
3.Ishi kama nyuki ana mgawanyo wa majukumu,msafi na anazalisha bidhaa (asali).
4.Usiishi kama nzi akiamka tu anawaza mavi yako wapi-kutoka kwa mjomba wangu kipenzi.
Hii ni hekima kati ya wenye hekimaMaisha ni safari isiyo na kurudi nyuma. Kila hatua, iwe ndogo au kubwa, huacha alama. Jifunze kuthamini safari yako, maana thamani yake ipo siyo tu kwenye mwisho wake, bali pia kwenye kila hatua unayopiga.