Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
- Thread starter
-
- #61
Kwa sasa sichori kwa pesa nachora bure unaweza ukanitumia hiyo picha nikaona kama nitaiwezaOooh hongera sana uko vizuri mno,
Kuna picha nataka nikupe unichoree, ni kiasi gani kwa picha 1?
Oooh sawa ntakutumiaKwa sasa sichori kwa pesa nachora bure unaweza ukanitumia hiyo picha nikaona kama nitaiweza
Ouk.Sawa naisubili PM
Mkuu naomba na mimi nitume yangu unichore.Kwa sasa sichori kwa pesa nachora bure unaweza ukanitumia hiyo picha nikaona kama nitaiweza
Unaweza kunitumiaMkuu naomba na mimi nitume yangu unichore.
Nashukuru aana kwa kuzipenda [emoji120] japo hizo ulizoziweka hapa kwangu zinaniandikia 'view attachment' na hazifungukiI heart this.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590]
Salute kwako, uko maeneo gani?Kwa sasa sichori kwa pesa nachora bure unaweza ukanitumia hiyo picha nikaona kama nitaiweza
Nipo Dar es salaam, KigamboniSalute kwako, uko maeneo gani?