Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

[emoji2539]
IMG20220131174037-01.jpg
 
umenikumbusha UMISHUMITA nikienda kama mchoraji ngazi ya mkoa
Hongera sana mkubwa [emoji122] mimi ninachora ninapokuwa nyumbani na sina kitu cha kufanya wala sijapata ushindani na mtu yeyote [emoji17]
 
Kazi nzuri mkuu nakushauri ujitahidi uanze kuingiza kipato kwa kutumia kipaji chako Sasa.

Kauze kazi zako za picha kwenye hii mitandaoni utakuja kunishukuru, chagua mitandao yako miwili au mitatu Kati ya hiyo pachika kazi zako huko.

1. Shutterstock
2. Getty images
3. Video Hive
4. Freepik
4. Envato
5. Dissolve

Fungua account bure
 
Sawa shukurani sana [emoji1431] nitajaribu sehemu zote ikibidi. Nitarudi kwako tena nikifanikisha
 
Kazi yangu ya mikono yangu. Asante Mungu [emoji1431]
IMG_20220312_183948_931-01.jpg
 
Ni mchoraji mzuri, michoro huwa inabeba ujumbe mkubwa sana kwa jamii na pia baadhi huelezea hali ya mchoraji. Inaelekea unapitia kipindi cha upweke ama huzuni.
 
Ni mchoraji mzuri, michoro huwa inabeba ujumbe mkubwa sana kwa jamii na pia baadhi huelezea hali ya mchoraji. Inaelekea unapitia kipindi cha upweke ama huzuni.
Kuna michoro nilichora nikiwa kwenye hali nzuri tu ya kawaida lakini kwa badae nikajikuta kwenye kipindi cha huzuni kama ulivyosema na nikiwa kwenye kipindi cha huzuni au kibaya huwa napenda nichore michoro ambayo haiendani na hali niliyo nayo yani mambo ni vice versa
 
Back
Top Bottom