Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
- Thread starter
- #81
[emoji2539]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkubwa [emoji122] mimi ninachora ninapokuwa nyumbani na sina kitu cha kufanya wala sijapata ushindani na mtu yeyote [emoji17]umenikumbusha UMISHUMITA nikienda kama mchoraji ngazi ya mkoa
Sawa shukurani sana [emoji1431] nitajaribu sehemu zote ikibidi. Nitarudi kwako tena nikifanikishaKazi nzuri mkuu nakushauri ujitahidi uanze kuingiza kipato kwa kutumia kipaji chako Sasa.
Kauze kazi zako za picha kwenye hii mitandaoni utakuja kunishukuru, chagua mitandao yako miwili au mitatu Kati ya hiyo pachika kazi zako huko.
1. Shutterstock
2. Getty images
3. Video Hive
4. Freepik
4. Envato
5. Dissolve
Fungua account bure
Kuna michoro nilichora nikiwa kwenye hali nzuri tu ya kawaida lakini kwa badae nikajikuta kwenye kipindi cha huzuni kama ulivyosema na nikiwa kwenye kipindi cha huzuni au kibaya huwa napenda nichore michoro ambayo haiendani na hali niliyo nayo yani mambo ni vice versaNi mchoraji mzuri, michoro huwa inabeba ujumbe mkubwa sana kwa jamii na pia baadhi huelezea hali ya mchoraji. Inaelekea unapitia kipindi cha upweke ama huzuni.