Uzi wa Hip Hop

Uzi wa Hip Hop

Wanamezwa na Papa kaa Yona/Mimi nameza papa mpaka zinatoka maji Sayona
 
I’m down for you, so ride with me.
My enemies your enemies,
Cause you ain’t ever had a friend like me.

Sent using unknown device
 
Wanasuburi kujiachia wakati sipo, Flow zinajiachia bila ushuru hazikatwi kwa max malipo
Tizama na naleta ukafiri,
kwa yangu mistari
nnayochora bila hata ya kufikiri na sikustiri
Kuwa makini yoh babu, kichwani sipo dry na si gongi ulabu

Kwa hii time nnayoandika
Na ujumbe kwako utafika, sina haja ya ku' edit vina kwangu ni kama stika
Na vimeganda
Rest in hell kwa unaye ni diss
Nakutafuna hadi mifupa nna roho kama ya fisi,
Umevuka border unataka shari stimu zangu like thisss

Kaa mbali nami bwana mdogo,
harakati zangu siku nne hukati gogo,
mi ndo doctor njoo nikutibu dogo usijetoa ndogo,
Mabasha kila kona hold on punguza mikogo,
Ukiendekeza utakula mihogo na utakalia vigogo

Ukweli unawatia homa
Nikitema cheche hawaniskizi
wanajifanya wana usingizi unaokoroma
Hawakujua kwamba mimi ndo yule mteule Kuntu
Hii window haichafuki niite iMAC au Ubuntu
Wanasema nipute mchanga kitambo nilishathubutu

Usipoielewa
Sizi, varangati lake kubwa kama umekabwa na jinamizi
So plizi
Mamluki wanan'diss kwa swagga za weezy, Hii ni round two
Kwenye hii game huwa nachelewa kupizi
dogo umebolonga na izo flow za kichoko/try kuumiza ndonga uwe kichwa ka moko/niite mrisho ka mpoto/ukijua haujui ndio utaacha utoto
 
tafuta sifa kama mganga/
na hautafufuka ukivikwa sanda/

-Ghetto ambassador-
 
Rest in peace cowbama/
Shalo millionaire west N east ooh mama/

-Ghetto ambassador-
 
Wazee Natafuta Ngomaa Moja Ya Saigonii "naomba nisamehe" kitamboo sanaa hii ngoma naisaka


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Woodahh nahitaji freestyle battle na jombilai oote umu ndichile tukiwashe kwa fas dwalala asee..!!
 
Back
Top Bottom