Uzi wa ideas za biashara hapa

Uzi wa ideas za biashara hapa

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Aisee niaje? Naomba Tupeane ideas,iwe ni practical, unachokifanya sio utuletee mawazo ya biashara usiyo ifanya,

Mfano binafsi, biashara ya electronics used kama laptop, unaweza kununua kwa Bei ya chini kariakoo then unauza Bei ya juu kupitia mitandaoni faida ya 50000. Hadi 100000 kwa pc moja..

Leteni idea zingine tupambane wadau
[emoji591][emoji608]
 
Wazo langu ni kutafuta vijana wa kisambaa Kama watano iv kila mmoja unampa chupa kubwa ya kahawa na kashata kwa mtaji wa laki tu unaweza kuletewa 10000 kila siku bablai
Niweke kambi hapa, sema jamaa unatokea arusha maana hiyo posti ulivyoi comment alafu ukamalizia na bablai... Wasambaa utawalipa mshahara sh ngapi
 
Uwezi kununua pc karikoo ukauza mtandao ukapata faida utapoteza muda na pesa zako sehemu ambako unaweza kununua bidhaa za Erectronics ukauza kwa bei nzuri ni kutoja Japan au South Africa

Kupitia kwenye hii kampuni ya uwagizaji wa mizigo nemekuwa nikiagiza vifaa mbalimbali kwa bei nafuu sanakutoka South Africa
Dubai
Japan
kupita kwenye plafform yako Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

Ukititaka mizigo yako isichelewe walipe wenye plafrom wana account CRDB na NMB wao wanajua jinsi ya kuwalipa wauzaji kisha wanakupakilia kwenye containe mzigo unachukua mwezi moja kufika.

Unaweza kupata laptop 10 mzuri kwa milini mbili tu.
Wanaitwaje ?
 
Waeza fanya biashara ya bodaboda kwa mikataba inalipa sana
 
Uwezi kununua pc karikoo ukauza mtandao ukapata faida utapoteza muda na pesa zako sehemu ambako unaweza kununua bidhaa za Erectronics ukauza kwa bei nzuri ni kutoja Japan au South Africa

Kupitia kwenye hii kampuni ya uwagizaji wa mizigo nemekuwa nikiagiza vifaa mbalimbali kwa bei nafuu sanakutoka South Africa
Dubai
Japan
kupita kwenye plafform yako Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

Ukititaka mizigo yako isichelewe walipe wenye plafrom wana account CRDB na NMB wao wanajua jinsi ya kuwalipa wauzaji kisha wanakupakilia kwenye containe mzigo unachukua mwezi moja kufika.

Unaweza kupata laptop 10 mzuri kwa milini mbili tu.
Huyo mtu wa kariakoo ye anatoa wapi mzigo mkuu
 
Business idea
STUDIO + SALOON+ na kufanya miamala ya kifedha tigopesa,halopesa,m-pesa... Ukipta fremu sehemu yenye population ya kueleweka unapiga pesa kinoma...
 
Nawa salimu kwa jina la M/mungu..
Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (( Assembly Business )) kwa Bidhaa mbalimbali.
Changamoto yangu Ni :-

1. Nitumie njia gani ili niweze kuagiza parts (( vipuli )) za Bidhaa hizo ninazo taka kuanza kuzifanyia assembly.. Sababu parts zote hazipatikani nchini Kwetu Ila nitatakiwa kuagiza kwenye nchi kama China & India.

2. Sijawahi fanya Biashara ya Bidhaa hizo kabla, hivo Sina uzoefu zaidi ya utafiti nilio na ninao Endelea kuufanya.. Sasa Je Ni Bora niende moja kwa moja kwende assembly au nianze kwanza kuuza finished goods zilizopo ili nipate uzoefu wa mauzo kivitendo ?

3. Nianze kutafuta order (wanunuzi) kwanza.. nimelenga wale wauzaji wa Maduka ya Jumla, Maduka ya Reja reja, makampuni husika na taasisi.. au Niingize Machine na Vipuli kwanza then nitapokuwa nmeanza uzalishaji ndio nitafute soko ? (( Japo kwa ujumla naona Bidhaa ninazo taka kuanza kuzizalisha mwenyewe hapa nchini Kupitia kuagiza vipuli vyake nje.. Naona fursa ya soko ipo ))

NB:- Future yangu nataka sana nije nimiliki factory ya Kufanya Manufacturing & Assembly ya products mbalimbali.

Karibu kwa mawazo..
 
Back
Top Bottom